Watu wapatao sita wanahofiwa kufa katika ajali iliyotokea leo asubuhi
katika eneo la Tegeta Kibaoni baada ya gari aina ya Scania lililokuwa
likitokea kiwanda cha Saruji cha Wazo Hill kupata hitilafu ya breki na
kugonga daladala aina ya Isusu Journey kisha kuangukia watu waliokuwemo
kwenye Baa ya KMM.